• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya muleba
    • Dira na Dhima
    • Core Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Mali asili
      • Ugavi
      • TEHEMA
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utumishi
      • Fedha
      • Mipango na Uchumi
      • Maji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo/Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ratiba
  • Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
  • Miradi
    • Itakayo- Tekelezwa
      • Inayo-Endelea
      • Iliyo-Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za ofisini au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Makitaba ya Picha

Maadhimisho ya wiki ya Maji wilayani Muleba

Imewekwa : March 17th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (MST) Salum M. Kijuu amezindua wiki ya maji Ki mkoa wilayani Muleba katika kijiji Ruhanga, kata ya Ruhanga na kuwasihi wananchi kutunza na kuhifadhi vyanzo vya maji kwa manufaa ya taifa letu.

Akizindua maadhimisho hayo, Meja Jenerali (MST) Salum M. Kijuu, amewasihi wananchi kusimamia ipasavyo miradi iliyojengwa na Serikali kwani imegharimu kiwango kikubwa cha fedha hivyo ni vema wananchi wakaipokea na kuitunza kama mali zao.

"Serikali imetumia fedha nyingi sana katika kuhakikisha wananchi wake wanasogezewa karibu huduma ya maji ili kuwaondolea adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji hivyo ni jukumu letu wananchi kuitunza na kuisimamia ipasavyo miradi hii"  alieleza Meja Jenerali (MST) Salum Kijuu.

Maadhimisho haya huadhimishwa kitaifa kila mwakakuanzia tarehe 16-22 Machi.

Matangazo ya kawaida

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE ZA BWENI,UFUNDI NA SHULE MAALUM December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SHULE ZA KUTWA KIDATO CHA KWANZA December 18, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIMEYA WAPIGA HATUA

    May 26, 2018
  • MAPATO YA NDANI YAIMARISHA VITENDEA KAZI

    May 25, 2018
  • WAZEE WETU FAHARI YETU

    May 04, 2018
  • TUMLINDE MTOTO WA KIKE NGUVU KAZI YA TAIFA LA KESHO

    April 23, 2018
  • Angalia zote

Video

Hotuba ya jana ya Rais akiwa nchini Kampala
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ajira
  • Kagera
  • Immigration

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais- UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kagabiro

    Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera

    Simu: +255 (28) 222-4013

    Simu: +255-756-350-183

    Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz

Mawasiliano mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa